translationCore
translationCore (tC) ni jukwaa lililo na chanzo huria la kuangalia na kudhibiti miradi ya kutafsiri Biblia kwa kufikia Madokezo ya Tafsiri na Maneno ya Tafsiri ya unfoldingWord. tC hutoa kiingilio kinachoweza kupanuliwa ambacho huwezesha, kati ya mambo mengine, ukaguzi wa utaratibu na wa kina wa tafsiri za Biblia dhidi ya vyanzo vingi na lugha asili kwa moduli za mafunzo za wakati halisi ambazo hutoa miongozo na maelekezo kwa watafsiri.
Hivi sasa translationCore inaunga mkono Miradi ya Kutafsiri Biblia iliyoanzishwa na translationStudio na iliyopakiwa hadi Door43, na kwa usaidizi mdogo kwa miradi ya USFM iliyoundwa kwa kutumia zana nyingine.
Programu hii imekuwa ya kimataifa katika lugha nyingi. Unaweza kutazama maendeleo au kusaidia kutafsiri katika .
