PTXprint
Tengeneza faili za PDF kutoka kwa maandishi ya mradi wa Paratext, inaweza kuwa chapisho rahisi kwa kuangalia, au matokeo changamano ya ubora wa kuchapishwa
Imeundwa kuwa mwandamani waParatext, PTXprint inakuruhusu kuunda PDF za ubora wa juu kwa uchapishaji wa majaribio ya maandishi matakatifu. Ina chaguo nyingi zinazoweza kusanidiwa kwa urahisi zinazoruhusu aina mbalimbali za matokeo. Chombo hiki huwezesha kila mradi wa kutafsiri kuzalisha chapa za maandishi matakatifu kutoka kwa faili zao za USFM za Paratext kwa ajili ya kupima na maoni ndani ya muktadha wao wa ndani.
Pia inaweza kufanya kazi na maandishi ambayo hayapo kwenye Paratext.
Skrini

Shuhuda
""I just downloaded it and did a test run with Ruth and it looks great. You are right; it was crazy easy and makes it look pretty good even with only spending a couple of minutes making sure the fonts are correct etc.""
Greg B
- Download now for free from: https://software.sil.org/ptxprint/download/
- Install and run
- Choose a project, book(s) to print and hit Print!
- Community support available at: https://community.scripture.software.sil.org/c/ptxprint/27
Different views make it easy for novice users to get started, and extremely configurable for power users. Scalable for printing small portions of Scripture locally right through to press-ready PDFs for entire Bibles. Works on Windows or Linux.