Paratext Lite
Na: UBS and SIL International
Paratext Lite ni programu tumishi ya Paratext ambayo hutumika kwenye kompyuta kibao au simu ya Android. Paratext Lite inaweza kukusaidia kufanya kazi nyingi tofauti za kutafsiri kwenye kifaa cha Android kidogo na kinachobebeka.

Skrini