Keyman
Keyman inakusaidia kuandika katika lugha zaidi ya 2000 katika karibu kifaa chochote - Windows, macOS, Linux, iPhone, iPad, vidonge na simu za Android, na hata mara moja katika kivinjari chako cha wavuti.
Kwa injini ya uandikaji yenye nguvu zaidi duniani, uandikaji wa maandishi wa haraka na wa angavu sasa unawezekana katika lugha yako, na kwa zaidi ya 99% ya lugha za asili za watu duniani!
Ilianzishwa mwanzoni 1993 kuandika Lao kwenye Windows, Keyman sasa ni jukwaa la uandikaji la bure na la chanzo huria ambalo huruhusu mtu yeyote kuandika mpangilio wa kibodi kwa lugha yake. Keyman inapatikana kwa majukwa nyingi, ikiwa ni pamoja na Windows, macOS, iOS, Android, Linux na wavuti.
Mpangilio wa kibodi unafafanuliwa kwa sarufi ya kibodi iliyo wazi na rahisi kuelewa. Muundo wa ingizo la muktadha wa Keyman unamaanisha mpangilio wa kibodi unaweza kuwa na akili na kurahisisha kuandika hata lugha ngumu zaidi. Mpangilio wa kibodi husambazwa kupitia orodha ya wazi kwa majukwaa yote makubwa ya kompyuta na simu.
Skrini





Shuhuda
"Such great software. Thanks for supporting those who need to enter text in 100's of less-widely-supported languages."
@simoncaudwell - March 2021
"Keyman, I installed it on my PC and can write [Egyptian] in quadratic form. You guys did an amazing job. Thanks!"
L. Cavanagh - December 2020
"I would suggest to stick with keyman and I am sure you would love the experience. I type #Amharic like a Pro on Keyman [winking face]"
@MekonnenAkele - December 2019
"'@keyman, thank you for the Tamil keyboard. Loved how easy it is to type in Tamil."
@BlueLotusTrans - July 2019